DAYNA ASEMA MADAI YA SHEDY KWAMBA YA YEYE ALIKUBALI DEMO YAKE KUTUMIWA NA DIAMOND SI YA KWELI

DAYNA

Msanii wa kizazi kipya Dayna ambaye hivi karibuni kumeibuka malumbano yanayodai Diamond kutumia beats ya wimbo wake wa Naumia alioutengeneza kwa prodyuza Shedy na Prodyuza alipoulizwa alisema Dayna alikubali Beats za wimbo wake zitumiwe na Diamond huku akidai kwamba Dayna alikua hajalipia beats ya wimbo wake na hivyo kuamua kumuuzia Diamond ambaye nae bila kuchelewa ameishatoa wimbo wake wa My number one ambao unatamba sasa hivi kwenye vituo vya radio na vituo vya luninga.

Msanii Dayna alipofanya mahojiano na Vijimambo blog alikua na haya ya kusema Msikilize

hii ni demo ya wimbo wa Dayna ambao unafanana na wimbo wa Diamond My number one USIKILIZE

WASHINGTON DC KUWAKA MOTO JUMAMOSI HIIIIIIIIIIIIIIIIIIII !




MALKIA WA ZOUK TANZANIA HAFSA KAZINJA AMUENZI MUHIDIN MAALIM GURUMO KWA KUIMBA WIMBO WA "NIMUOKOE NANI"

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
                                                      HAFSA KAZINJA -TZ MALKIA WA ZOUK
 Baada ya ukimya wa muda mrefu, Malkia wa Zouk Tanzania, Hafsa Kazinja, anaibuka upya katika fani akiwa na ingizo lake la kwanza kati ya kumi aliyoandaa kwa kuimba wimbo maarufu wa NUTA Jazz Band uitwao “NIMUOKOE NANI” anauouleta hewani katika mahadhi ya Zouk. Hafsa Kazinja anasema ameamua kurudi ulingoni kwa kutoa wimbo huo ili kumuenzi Mzee Muhidin Maalim Gurumo ambaye amestaafu rasmi fani ya muziki baada ya kufanya kazi hiyo akiwa na bendi mbalimbali tokea mwaka wa 1960. “Nimeamua kuimba wimbo huu wa “NIMUOKOE NANI” ili kumuenzi gwiji huyu wa muziki kwani wakati yeye anastaafu na mimi ndiyo naibuka upya baada ya kukaa kimya kwa muda”, anasema Hafsa ambaye alitoka kwa wimbo wake wa “PRESHA” aliomshirikisha Banana Zorro.

 Hafsa ameandaa wimbo huo wa “NIMUOKOE NANI” katika studio za OM Productions ya jijini Dar es salaam chini ya wanamuziki nguli, Abdul Salvador na Omari Mkali. “Nafurahi kwamba wimbo wa NIMUOKOE NANI nimeuimba baada ya kupata Baraka zote toka kwa mtunzi na mwimbaji wake Mzee Gurumo mwenyewe. “Haikuwa rahisi kama inavyoweza kudhaniwa kwani baada ya kwenda kumuona nyumbani kwake alinifanyisha mtihani wa kuuimba wote kabla ya kuridhika maana alisema asingefurahi

POZ KWA POZ " TEAM OMMY DIMPOZ " TUPOGO -WASHINGTON DC SEPT 21.....HOUSTON SEPT 28.....CALIFORNIA OCT 5 !!




MISS NEW YORK WON MISS AMERICA 2014.. SHE IS THE FIRST INDIAN EVER TO WIN !

missamyellow
Miss New York Nina Davuluri, center, reacts after being named Miss America 2014 pageant as Miss California Crystal Lee, left, and Miss America 2013 Mallory Hagan celebrate with her, Sunday, Sept. 15, 2013, in Atlantic City, N.J
After a night of big numbers, long evening gowns, tight swimsuit strutting, dancing, singing and, yes, answering those tough judges' questions (including ones about Miley Cyrus and Syria!), the 53 Miss America contestants (50 states, District of Columbia, Puerto Rico and the U.S. Virgin Islands) were narrowed down to one winner.
Miss New York Nina Davuluri, 24, from Syracuse, sashayed off with the tiara and the $50,000 scholarship cash. She performed a Bollywood fusion dance (after missing her cue at first) and answered a question about plastic surgery. ("Be confident in who you are!") She hopes to become a doctor, like her father, who is an obstetrician in Fayetteville, Mich. She once battled bulimia, according to a SYRACUS.COM July story, and is the first Indian-American to serve as Miss New York/ She is the first Miss America winner of Indian descent.